Friday, November 9, 2012

Bidhaa za usafi...Zinapatikana Homez Deco....

 Tumekua tukijenga nyumba zetu nzuri ama kuaa kwenye nyumba nzuri, lakini vipi kwa upande wa usafi? Umeshajiuliza kua, je hizo tiles, ulizoziweka, carpet, Hizi ndizo Products za usafi majumbani mwetu na maofisini ama mahali panapotuzunguka......Matumizi ya bidhaa hizi ni wewe mwenyewe ndio unaaamua utumieje, tofauti na bidhaa zingine ambapo tayari wanakua wame ku limit matumizi......

Product hii hung'arisha sakafu, iwe ni ya tiles, mbao, marumaru......baada ya kusafisha na super 10.....Bei ya Fantastik ni 27,000/-
 Product hii ya care, hutumika majumbani, hospitalini, mashuleni, na sehemu yoyote yenye mikusanyiko....Kazi ya product hii ni huua vijidudu, visivyoonekana, kama maeneo ya vyooni, kwenye masinki, etc...product hii haiharibu mikono na haina kemikali, na pia haijakua diluted....yaani ni wewe mwenyewe ndio utaichanganya kulingana na matumizi yako mwenyewe, tofauti na zingine ulizozoea kuzitumia, tayari zinakua zimeshachanganywa...... Bei yake ni Tshs...20,000/=
Hii ni sabuni hutumika, kuoshea vyombo vya aina yoyote ile, iwe ni glass, masufuria, vyombo vyenye mafuta na huviacha vikiwa ni visafi na bila michirizi etc. hutumika kulowekea nguo laini za ndani, na pia kuogea, na kuoshea mikono.....hutumika pia kuondoa wallpapers.....husafishia mabafu (bath tub), na sehemu zingine za bafuni, tiles, sinks, kusafishia taa...  Bei yake ni Tshs. 26,000/-
 Kwa upande wa nguo, hauko nyuma, sabuni hii ya G! Laundry, ni nzuri kwa kufulia, kwa matumizi ya washing machines(mashine za kufulia) ama hata kwa kufulia kwa mkono...na hubana matumizi kwani unatakiwa kutumia kidogo, kijiko 1-3 tuu kwa ufuajia mkubwa. na ina harufu nzuri.....Pia haichujishi nguo....Ina ujazo wa kg 2.  Bei Tshs. 50,000/-
 Hii hutumika kusuuzia mashuka, mataulo baada ya kufua....nakumbuka nilitoa somo la kuandaa chumba chako kama cha hotel, sasa basi watu wa hotel hutumia product hii kwa ajili ya kufanya mataulo ama mashuka kua soft wakati yanakauka... unachotakiwa kufanya ni baada ya kufua na G1 Laundry, unasuuza na soft, na kuanika...Yakikauka hayatokua magumu ama kukakaaa maa.....Bei  tshs. 18,000/-
Product hii hutumika kila sehemu ya nyumba yako ama ofisi, kwa kufanyia usafi. kuondoa madoa sugu kwenye nguo, jikoni, kwenye masink, kusafisha sakafu ya aina yoyote ile, ikiwamo tiles, mbao, marumaru na matumizi yake ni kidogo tuu na hiyo hapo juu ni kipimo chake....Bei Tshs. 22,000/-

Hii ni furniture polish, ina kazi kuu 3, hairuhusu maji kupenya,  hung'arisha, na huilinda furniture yako. Inahitajika utumie kidogo, hutumika kwenye furniture za mbao, plastics, metal areas, na unaitumia na kitambaa kisafi ama kitaulo, na ni kidogo tuu. Futa vumbi furture yako, paka Lemon Glo, na acha kwa dk. kadhaa na uanze kupolish na kitambaa safi...

Ni rahisi kua na gari iliyooshwa vizuri na kung'aa, na bila rangi ya gari kufifia, Product hii ni nzuri kwa hili, ni 2 in 1 yaani inaosha gari nani pia ni wax ya gari.  Unachotakiwa kufanya ni kuimimina kwenye kifuniko chake ni ambacho kimeshapimwa ni 5mls unachanganya kwenye maji ya 6 lits, ambapo utaweza kuosha mara 100 kwenye kila chupa utakayo nunua......( hutotakiwa kuongeza, nikiwa na maana ya kua uzidishe kipimo, maana gari vumbi litakua linakamata kwenye gari kumbuka ina polish pia)

Wednesday, November 7, 2012

Mali mpya......Mito ya kwenye sofa, sakafuni, na kitandani...(mito na foronya zinatengenezwa na Homez Deco...karibu ujionee tofauti ya mito yetu, na haitoi harufu ni misafi nani soft)

 Mito hii iko tayari kwa kuuzwaaa



 Mito hapo juu iko tayari kwa kuuzwa....imejaa vizuri, muonekano wake mzuri, na pia ni soft sio migumu...na haisinyai mapema......
 Mito ikiwa bado haijavalishwa foronya zake.... mito ya kwanza kushoto ni size 55 by 38
 Mito size 45 by 45
 Mito size 45 by 30


Bei ya mito kwa size hii ni bila foronya zake:

1. 55 by 38 = tshs. 18,000/-mito ya kwenye sofa/makochi, kitandani


2. 45 by 45 = tshs. 15,000/-mito ya kwenye sofa/makochi, kitandani


3. 40 by 40 = tshs. 15,000/-mito ya kwenye sofa/makochi, kitandani


4. 45 by 30 = tshs. 12,000/- mito ya kwenye sofa/makochi, kitandani

5. 88 by 88 = tshs. 45,000/- mito ya chini sakafuni



Bei ya foronya za mito kwa size

 55 by 38 = tshs. 13,000/-

2. 45 by 45 = tshs. 12,000/-

3. 40 by 40 = tshs. 12,000/-

4. 45 by 30 = tshs. 10,000/-

5. 88 by 88 = tshs. 15,000/-

Nakushukuru Mungu kwa kuendelea kutuwezesha...... pole pole ndio mwendo....Haraka haraka.....

 Heavy duty machine
 Fundi akishona neti
Ofisi  yangu kwa sasa.....panavyoonekana... na hizo hapo juu ni sample za rangi yaani hizo za juu, njano, nyekundu na bluu ni primary colors. na mstari wa chini ambazo ni orange, zambarau na kijani  secondary colors.....


Kwa sasa Homez Deco, inapenda kuwafahamisha kwamba, kwa kua tumekua tukiendeleza vitendea kazi, sasa kwa upande wa vitu vya kushona kama neti, pazia, foronya, vitambaa vya meza na mashuka ambayo tutaanza muda si mrefu.....ect.... nguvu imeongezeka mara dufu...

Kwani machine hii ina uweza wa kushona pazia dirisha 10 kwa siku......

Karibuni sana sana......                                                              

Rangi za watoto vyumbani.......

 Age 4-8 Boys
 Age 8-13 Girls
 Teens 13+
Hizi ni rangi za watoto zinazotumika kwa asilimia kubwa.... Rangi hizi zinaweza kutumika sio tuu ukutani, bali hata kwenye mapambo yao kama mashuka, caperts, picha za ukutani, n.k.

Kwa muongozo huu unatakusaidia sana katika kupamba chumba cha mtoto wako kuendana na umri....maana sie tumezoea tuu blue na pink....

Angalia mtoto wako ana umri gani, na angalia katika rangi hizi ana fit wapi....na utumie rangi hizi..

Unaweza kutumia rangi zote, ama moja ama mbili ni wewe tuu kadri upendavyo....

Kwa mahitaji ya rangi hizi... Homez Deco tunashirikiana na Sadolin ambao wana rangi za Dulux... Utapata rangi hizi zote....

Rangi hizi ziko katika makundi matatu. ambayo ni:

Rangi za maji,

Rangi za mafuta

Rangi za silk ama wash 'n' ware na ndio ambao wengi wetu tunazozitumia...

Karibu tuwasiliane kwa mahitaji ya rangi......

Jayd amekua sasa....Namshukuru Mungu kwa kunikuzia......

 Mama na mwana.....
 Jaydan akitafakari jambo.....
 Mama Jaydan
 Watoto wangu......Wakwanza kushoto ni Tevin, Terrence na Jaydan (watoto wa dada yangu)
 Mama na watoto.......
Watoto, mama na mjomba.....

Tuesday, November 6, 2012

Kazi ya homez deco.....Temeke.....wiki iliyopita

 Kazi ikiwa imekwisha.....ya pazia
 Sitting room inavyoonekana ikiwa tayari tumekwisha weka pazia....
 Dinning room nayo ikiwa iko tayari tumeshaweka pazia
 Kabla hatujaanza kazi sitting room inavyoonekana






 Nikiwa kazini kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa.......
Kazi ikiwa inaendelea......

Nashukuru wateja wangu kwa ushirikiano wenu........

Kipindi hiki ni kipindi cha asilimia kubwa ya watu wanarekebisha ama kumalizia nyumba zao, ili kuweza kuhamia na kua tayari kabisa kwa ajili ya sikukuu ya X-mass na New year......

Tunakukaribisha.....