Thursday, November 10, 2011
Miaka 5 ya 8020 fashions
Ninapenda kuchukua nafasi hii kwa kumpongeza, Shamim a.k.a Zeze, kwa kutimiza miaka 5 ya blog yake. kiukweli, Party ilinoga, nilikutana na wateja wangu, marafiki, dada zangu etc, it was fun, na kwakweli tulipendeza acha mchezo, hizi ni baadhi ya picha nilizochukua, kama unavyoona wote tulifurahi, na kila kitu kilikwenda sawa, kuanzia, mapambo, vinywaji, chakuja, mshereheshaji/MC - Dina, yaani walijipanga kisawa sawa, nawapongeza kamati yote iliyoandaa tafrija hii.
Nimependa kazi ya lebo yake ya B2A
Shamim amekua akinisaidi kila ninapohitaji msaada wake, ninakushukuru,
Ninakutakia kila la kheri katika safari yako na ujasiriamali, na mungu awe nawe katika safari hii ya ujasiriamali.
(Wanawake tusaidiane, tushirikiane, tupendane, kwa kufanya kivi tutajenga na sio kubomoa).
NB: Speach ya unlce Michuzi, ilinifurahisa sana sasa.
Curtain Rails
| HapaPazia letu liko tayari |
| Fundi akifanya final touches |
| Tuna taste kama rail zetu zinafanya kazi, |
| Hapa tumeweka sheer |
| Nina taste hizi kamba, na pia uimara wa rail ilivyoshika ukuta, (isje leta balaa), then ninampa go ahead fundi kuweka pazia sasa, baada ya mimi kuridhika na uimara |
| Fundi akifitisha kamba, |
Tuesday, November 8, 2011
Saba Saba 2011 (Banda la Maliasili, upande wa chuo cha taifa)
Hapo juu ndivyo palivyokua baada ya heka heka kupaandaaa. kwa wale waliofanikiwa kwenda saba saba ya mwaka huu, hii ni kazi ya homez deco. Tuli design, na kushona kuanzia pazia, bedcover, foronya za mito, scarting ya kitanda. Theme ilikua ni honey mooners room kwa upande wa hotel.
Baada ya heka heka, na wateja wangu walifurahi kazi yangu, kitu ambacho ni muhimu katika kampuni yangu. maana ninaweza nikakosa usingizi, mteja anapokua hakuridhika...( si unajua customer care tenaaaa, niliyofundishwa na chuo hikiiii, )
Hapa ni katika hatua za mwisho za kukagua kazi tuliyoifanya, je inaridhishaaaa!!!! (guess what, huyu ndie bibi yake Jaydan) ni tutor wa chuo cha taifa cha utaliii, upande wa rooms division... Love you mama.....
Huu ni mfano wa jiko la hotel
Na hili ni trolley la housekeeping, hotels zote ni lazima hili trolley liwepo, lina rahisisha kazi kwani linabeba kila kitu kinachohitajika na usafi...( kweli hiki chuo cha taifa wamejipanga , yaani ukimaliza course yako, kazi nje nje) Like me nilipata kazi Golden Tulip, tena hii ilikua baadaya ya kumaliza field, wakaniita. Mungu ashukuriwe...
Tusishangae visu, kila kimoja kina kazi yake hapooooo, na hizo pombe ni mfano wa bar
I loved this table cloth color, hapo ni restaurant.
Yaani hapo ni bussy kweli kweli
NB:
Nilikua kimya but kazi zilikua zikiendelea kama kawa, so msishangae ninawaletea vitu vya miez ya nyuma, mniwie radhi.......
Ladies!!!!!!!!
Mimi inanisaidia sana, maana sina haja ya kubeba pochi na begi la laptop, maana yananielemea, na mwili wenyewe sasa! haaahahahhah
Pls, ukihitaji, toa order. na utaipata ndani ya wiki 3, pochi hizi zinatokea USA na England.
Inapatikana ktk color, black, maroon, red, animal print etc.
Monday, November 7, 2011
I am 9 month old.....( thanks Lord 4 helping raising my baby boy JAYDAN)
Ila sasa Jaydan wangu anahitaji attention yangu, kazi nayo so sometimes ku balance inaniwia vigumu. Ila nimekua nikifanya kazi kama kawaida za wateja.
NASHUKURU KWA KUNIELEWA, MAAANA SIJAPATA MALALAMIKO MENGI MPAKA SASA, HIVYO INAASHIRIA WENGI WENU MNANITAKIA MEMA MIMI NA MWANANGU.
NACHUKUA FURSA HII KUWAPONGEZA KINA MAMA WOOTEEEEE, KWA KAZI NZURI WANAYOIFANYA YA KULEA FAMILIA ZAO.
Love you all.....
Sylvia - Mama Jaydan