Tuesday, November 8, 2011

Saba Saba 2011 (Banda la Maliasili, upande wa chuo cha taifa)


Hapo juu ndivyo palivyokua baada ya heka heka  kupaandaaa. kwa wale waliofanikiwa kwenda saba saba ya mwaka huu, hii ni kazi ya homez deco.  Tuli design, na kushona kuanzia pazia, bedcover, foronya za mito, scarting ya kitanda. Theme ilikua ni honey mooners room kwa upande wa  hotel.
Baada ya  heka heka, na wateja wangu walifurahi kazi yangu, kitu ambacho ni muhimu katika kampuni yangu. maana ninaweza nikakosa usingizi, mteja anapokua hakuridhika...( si unajua customer care tenaaaa, niliyofundishwa na chuo hikiiii, )
Hapa ni katika hatua za mwisho za kukagua kazi tuliyoifanya, je inaridhishaaaa!!!! (guess what, huyu ndie bibi yake Jaydan) ni tutor wa chuo cha taifa cha utaliii, upande wa rooms division... Love you mama.....
Huu ni mfano wa jiko la hotel
Na hili ni trolley la housekeeping, hotels zote ni lazima hili trolley liwepo, lina rahisisha kazi kwani linabeba kila kitu kinachohitajika na usafi...( kweli hiki chuo cha taifa wamejipanga , yaani ukimaliza course yako, kazi nje nje) Like me nilipata kazi Golden Tulip, tena hii ilikua baadaya ya kumaliza field, wakaniita. Mungu ashukuriwe...
Tusishangae visu, kila kimoja kina kazi yake hapooooo, na hizo pombe ni  mfano wa bar

I loved this table cloth color, hapo ni restaurant.




Yaani hapo ni bussy kweli  kweli 

Maandalizi ya pazia, etc.

NB:

Nilikua kimya but kazi zilikua zikiendelea kama kawa, so msishangae ninawaletea vitu vya miez ya nyuma, mniwie radhi.......

Ladies!!!!!!!!





Hii ni pochi , na begi la kuwekea Laptop,nilichopendea mimi hii pochi ni kua ukiwa umebega hakuna atakaejua kama umebeba laptop, hasa kwa wale wezi, na una beba na kutembea nalo kokote, maana kwenye gari ukiacha, imeibiwa.

Mimi inanisaidia sana, maana sina haja ya kubeba pochi na begi la laptop, maana yananielemea, na mwili wenyewe sasa! haaahahahhah

Pls, ukihitaji, toa order. na utaipata ndani ya wiki 3, pochi hizi zinatokea USA na England.

Inapatikana ktk color, black, maroon, red, animal print etc.

Nawatakia maisha mema ya ndoa Sara na Mumeo (send off day)


Monday, November 7, 2011

I am 9 month old.....( thanks Lord 4 helping raising my baby boy JAYDAN)






Ninamshukuru Mungu kwa kila jambo, na kwa kunipa moyo na kunikuzia Jaydan wangu ua la moyo wangu. Nimekuwa kimya kiasi kwenye ku update blog, nawaomba radhi, kwani najua wengi wenu mnajua swala la kua mama, mwanzoni nilikua ninaona ni simple na tumbo langu, kwani nilikua ninatembea nalo popote pale(hahhhah).

Ila sasa Jaydan wangu anahitaji attention yangu, kazi nayo so sometimes ku balance inaniwia vigumu. Ila nimekua nikifanya kazi kama kawaida za wateja.

NASHUKURU KWA KUNIELEWA, MAAANA SIJAPATA MALALAMIKO MENGI MPAKA SASA, HIVYO INAASHIRIA WENGI WENU MNANITAKIA MEMA MIMI NA MWANANGU.

NACHUKUA FURSA HII KUWAPONGEZA KINA MAMA WOOTEEEEE, KWA KAZI NZURI WANAYOIFANYA YA KULEA FAMILIA ZAO.  

Love you all.....

Sylvia - Mama Jaydan

Friday, October 7, 2011

Small Bathrooms by Style









You don't need a lot of space to make a big impact, Sina cha kuzungumzia zaidi kila kitu kinajieleza sio lazima ununue vitu vya thamani ndio bafu lipendeze, na mpangilio pia unachangia, .....

Nawatakia weekend njema........(Jaydan amekua sasa miezi 8 anatimiza kesho tarehe

8/10/2011) Msihofu nitawaletea picha zake........ kulea ...... ila ninafurahi sana kibarua changu cha kulea......... hahaahhaaa..... Nawapa hongera wamama woteeeee kokote mlikoooooo love uuuuu

TUMPIGIE KURA MISS JESTINA GEORGE BLOG


MISSJESTINAGEORGE.BLOGSPOT.COM imechaguliwa kuwa mojawapo ya blogs ambazo zitakazo chuana vikali katika kuwania ushindi wa kutafuta BLOG ya mwaka katika tuzo za BEFFTA (Black Entertainment Film, Fashion, Television and Arts) zitakazofanyika tarehe 22 Octoba 2011 hapa jijini London.

Kwa heshima na taadhima zote naomba wadau tuipigie kura ili blog yetu iweze kupata tuzo hii muhimu. Hii ni Blog pekee kutoka Tanzania kuingia katika kinyang'anyiro hiki.
Jinsi ya kupiga kura ni rahisi tu tembelea www.beffta.com/voting utaona fomu ya kujaza andika jina lako, email yako, halfu chini ya Category chagua News 4. Blog of the Year na kwenye Nominee chagua Miss Jestina George.
Baada ya hapo bofya Submit Your Vote.

Blog ya www.missjestinageorge.blogspot.com ina husika na Mambo ya Urembo, Mitindo, Sanaa na Matukio Mbalimbali na Motomoto kutoka kila pande za dunia.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wale wote ambao watakaoweza kupigia kura na hata wale wambao hawata weza kupigia kwa sababu moja au nyingine.

Thursday, October 6, 2011

Your Guide on buying Floor


Learn the basics of flooring:

Before You Begin

Here are three oft-forgotten floor-shopping considerations:

1. Sheet, plank, or tile? The type of installation is important if you're doing it yourself. But it's also a question of aesthetics. Determine where -- or if -- you want to see seams or grout lines.

2. How do you clean it? There is no such thing as a maintenance-free floor. Carpet requires vacuuming and periodic deep cleaning. Wood floors need dusting, waxing, and occasional refinishing. Even hard-wearing ceramic tiles must be grout-sealed and mopped.

3. How does it feel? Make sure you know how your flooring choices feel -- and sound -- underfoot. Moisture-hardy tile in the bath, for example, might be too cold for some bare feet.

Think Green

Bamboo and cork floors are made of renewable resources. Both are visually warm, and cork (shown) offers springy comfort and resilience. Carpet made of preconsumer, postindustrial recycled content is also available; some manufacturers are even working toward postconsumer recycled precuts. Linoleumlike products that feature linseed oil are mostly organic and naturally antimicrob

Compare Apples to Apples

When you're working out your floor budget, be prepared to use some basic math and geometry muscles. Regardless of whether you're comparing sheet, plank, tile products, or carpet, reduce everything to a price per square foot. Make sure to add the costs of any required substrates, which provide structure and support, and underlayments, which provide vapor protection, padding, and/or acoustical control.

Form a Solid Foundation

Sometimes a new floor can be installed on top of an existing floor, such as the glueless laminate . If needed, a liquid leveling product can be applied to even out seams, cracks, or texturing. An additional substrate of 1/4 inch or more thickness will ensure stability. (Some products, such as laminates, feature an integrated substrate.)

Warning: Multiple layers of flooring may require the altering or repositioning of cabinets, door frames, toilets, molding, and more.


Get the Look for Less

Ever-improving embossing techniques allow sheet-vinyl products to mimic the look of tile, wood, and other textured surfaces. Laminate floors (shown), which are a photographic image protected by hard-wearing surface, can replicate the look -- and feel -- of tiles, stones, and exotic woods.

Manage Moisture

Some flooring types are particularly susceptible to moisture. Laminate, wood, and other floating floors expand and contract with changing humidity levels. Follow manufacturer recommendations on whether a product should be used in kitchens, baths, or below-grade applications such as basements. Ceramic tile or vinyl products may be better options.

Breathe Easy

Adhesives used in the manufacture and installation of flooring may off-gas, release odors that can irritate people with allergies or chemical sensitivities. Placing flooring products in a well-ventilated and temperature-conditioned area for a few days before installation can help diminish harmful odors. For wood-backed products, this also helps equalize any moisture that may have been picked up from being stored outside the home

Pros and Cons

When choosing flooring material, consider where the flooring will be located and the personality of the flooring. The following slides explain the pros and cons of the most popular flooring choices.

Carpet

For warmth and softness underfoot, capet is the ideal choice.  

Pros:

-- Comfortable underfoot

-- Can be budget-friendly

-- Carpet tiles can be easy to install

Cons:

-- Absorbs moisture

-- Stain removal can be difficult

-- Usually requires professional installation

Ceramic Tile

Ceramic tile is durable, low-maintenance, and great for moisture-prone, heavy-traffic areas such as bathrooms, mudrooms, entryways, and kitchens.

Pros:

-- Durable and good for high traffic areas

-- Glazed tiles resist moisture and stains

-- Easy do-it-yourself project

Cons:

-- Grout lines must be resealed periodically

-- Cold and hard underfoot

-- Does not reduce noise

Hardwood

Hardwood is a popular choice because it lasts longer than other flooring options and can be refinished several times or restained to change appearance.

Pros:

-- Resists spills, scratches, and wear, if sealed properly

-- Large selection of woods, plank sizes, and stain colors

-- Adds value to a home

Cons:

-- Soft woods tend to dent or scratch easily

-- May require periodic refinishing

-- Does not reduce noise

Laminate

Laminate floors feature decorative images printed over paper or other fibrous material. Laminate is a popular choice because it truely looks like wood or stone, comes in a range of colors and patters, and is durable enough for kitchen and family room use.

Pros:

-- Easy to clean and maintain

-- Virtually stainproof and fade-resistant

-- New products more closely imitate real wood

Cons:

-- Can warp from water damage

-- Appearance isn't identical to wood

-- Cannot be refinished

Vinyl

Vinyl flooring is durable and suitable for any room in the house.

Pros:

-- Easy to clean and maintain

-- Soft and quiet underfoot

-- Vinyl tiles can be a do-it-yourself option

Cons:

-- Low-quality grades may show wear and tear

-- Repairing damaged vinyl can be difficult

-- Doesn't add much value to a home

Our topic of floor ends here, I hope know you know which type of floor is best for your home/office.