
Friday, October 2, 2009
Shoe racks(hizi hazitengenezwi) Ninakaribisha wadau wangu mnitumie post kwenye email yangu (sylvianamoyo@yahoo.com) nitaziweka kwenye blog bila kusita
Namshukuru mdau wangu Zuhura kwa posts nzuri anazonitumia, ameamua kujiunga nami kusaidia kuelimishana,

Thursday, October 1, 2009
more designs toa order na utapata ndani ya siku 5-7. karibuni homez deco
Wednesday, September 30, 2009
Home deco stock on sale!!!!! maua ni artificial. fresh mpaka utoe order. karibuni
bei shs.81,000/= wapendwa msiogope bei, haya maua ni mazuri kama mnavyoyaona unaweza kudhani ni fresh kumbe ni artificial na flower verse zake ni seramic. unakaa nayo kwa muda mrefu sana na una save cost kwa wale wanaopenda ku save cost basi hapa mmmefika.

table runner/throw @20,000/=

maua makavu huwekwa chooni na chumbani yana manukato mazuuuuriiii badala ya kupulizia spray mara kwa mara nashauri yatumike haya mfuko ni tshs.39,000/=

Subscribe to:
Posts (Atom)


















































