Ni moja wapo ya kazi yetu.....dressing table makeup....meza 550,000 na kiti chake na mto wa kukalia 200,000
Tuesday, August 1, 2017
Monday, July 31, 2017
Meza ya makeup na shelves zake....0713920565
Makeup ndo habari ya mjini....kwa wale wanaofungua salon za makeup ama kawaida....karibuni tuwatengenezee furnitures....bila kusahau..hata nyumbani zinatumika...
Meza ya makeup na shelves zake...750,000...kwa mahitaji wasiliana nasi 0713920565...Sunday, March 19, 2017
WALLPAPERS ZIMEWASILI DUKANI KWETU KARIBUNI.....
Kwa mahitaji ya wallpapers zimewasili...wasiliana nasi 0713920565. Na mikoani tuna tuma pia ....roll moja ni 50,000 ina urefu mita 10 upana 53cm. Gundi 15,000 na kubandika kwa roll ni 20,000 tunakupa fundi.
AIR CONDITION INAUZWA....MPYAAAAA
Air Condition inauzwa....power hose 1...ni mpya kabisaaa haijafunguliwa.....bei 750,000/...brand ya Gree.....ulaji wa umeme ni mzuri sana.....kwa mawasiliano....0713920565.....mikoani tunatuma pia .....
Saturday, March 11, 2017
Thursday, November 17, 2016
METAL FURNITURES...AVAILABLE 0713920565
Hanger ya nguo bei 190,000.
Stool 1 bei 140,000
Coffee table bei 230,000
Coffee table bei 230,000
Microwave stand bei 110,000.
Bei 50,000 hanger ya jikoni ama bafuni.
Stool 1 bei 140,000
Coffee table bei 230,000
Coffee table bei 230,000
Microwave stand bei 110,000.
Bei 50,000 hanger ya jikoni ama bafuni.
Labels:
Metal
Friday, November 11, 2016
Kwa mahitaji ya grills za milango na mageti...wasiliana nasi 0713920565....tunakuja kupima na tuna fanya fittings wenyewe.....bei ni kulingana na design na ukubwa wa dirisha.....tunaanzia 135,000.
Wasiliana nasi 0713920565 karibu.
Ofisi Iko Kinondoni karibu na makaburini ama break point kuna njia ya vumbi unaingia nayo...
Labels:
Metal
RANGI ZA NYUMBA....
Rangi za nje ya nyumba....nyumba ya mteja wetu....tulipaka rangi. Ndani na nje..na huu ndo muonekano wake baada ya kupaka rangi.
Picha ya chini ni kabla na baada ya kupaka rangi....tunashauri rangi za kupaka kwenye nyumba na maofisi ...kwa mahitaji ya kupakiwa rangi naomba tuwasiliane 0713920565 mikoani pia tunafika...
Labels:
Colour
CAR SHEDS.....KWA MAHITAJI KARIBU UTOE ODA YAKO SASA....TUNATUMIA MATERIALS NZURI NA IMARA.....0713920565
Car sheds....ya gari 1 bei ni 1.4mil...
ya gari mbili ni 1.8mil...
ya gari 3 ni ...2.8mil
Bei hizi ni pamoja na fixing....kwa mahitaji...wasiliana nasi....0713920565
Colors....blue, grey, black, cream....tunatumia materials imara na nzuri...
Subscribe to:
Posts (Atom)















































