tag:blogger.com,1999:blog-1001269134886417353.post5059198350973848035..comments2024-03-12T07:24:00.385+03:00Comments on Homez Deco - Kreative Homez: Wallpapers...Available @ Homez Deco...Homez Deco Kreative Homezhttp://www.blogger.com/profile/07309956060512682072noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-1001269134886417353.post-90783727088181833822012-12-07T11:21:51.287+03:002012-12-07T11:21:51.287+03:00Je hizo wallpaper haziharibu ukuta utakapozitoa? Je hizo wallpaper haziharibu ukuta utakapozitoa? Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1001269134886417353.post-35894279975550243772012-12-01T22:23:26.711+03:002012-12-01T22:23:26.711+03:00Hi Sylvia mimi ni solomon,blog yako imenikumbusha ...Hi Sylvia mimi ni solomon,blog yako imenikumbusha mbali sana kijijini tangu nikiwa mtoto mdogo, niliwasikia wazazi wakisema tunaenda sokoni kununua KISADO cha mahindi, KISADO cha nyanya, duuh!! kumbe neno KISADO limetokana na neno SADOLIN kampuni ya rangi madhubuti tangu enzi za mababu zetu. RANGI ambazo ukipaka kwenye nyumba yako zinadumu hadi watoto wanafikia umri wa kuoa na kuolewa! Na sasa unasema wamekuja na RANGI za DULUX, HEEEH! kweli SADO ni kiboko, wametukomboa sisi wenye vipato vya chini tusiotaka kurudiarudia kupaka nyumba RANGI kila mara,unapaka mara moja tu! unasahau. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1001269134886417353.post-36200803070566457562012-11-28T01:03:15.648+03:002012-11-28T01:03:15.648+03:00hey dada wow je hizo ni za wapiii china auu uk un...hey dada wow je hizo ni za wapiii china auu uk unaranfi za plain naweza bandika chooniAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1001269134886417353.post-29102932686690195422012-11-27T12:43:57.363+03:002012-11-27T12:43:57.363+03:00hi, wallpapers zinagharimu 30,000/- kwa square met...hi, wallpapers zinagharimu 30,000/- kwa square meters. na hii ni pamoja na kubandika kabisa.....karibuHomez Deco Kreative Homezhttps://www.blogger.com/profile/07309956060512682072noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1001269134886417353.post-70904482770479180082012-11-27T09:21:09.289+03:002012-11-27T09:21:09.289+03:00Hi sylvia.Nimefurahi kusikia wall papers zinapatik...Hi sylvia.Nimefurahi kusikia wall papers zinapatikana kwako. Zinagarimu sh ngapi kwa sequare meter (Kununua karatasi na kubandika)?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1001269134886417353.post-75810288391646578092012-11-26T20:39:51.803+03:002012-11-26T20:39:51.803+03:00Hi,naitwa angela ninapenda blog yako coz huwa nina...Hi,naitwa angela ninapenda blog yako coz huwa ninapata ideas nyingi nzuri kwa kuboresha nyumba yangu.ninaomba unisaidie namna ya kujiunga gnld au kama unaweza niunganisha na mtu ambaye atanisaidia kujiunga nao.ningependa kuwa nanunua bidhaa kwa ajili ya nyumbani kwangu hasa sabuni ya kufulia.nitashukuru sana kwa msaada wako.<br />stay blessed.Anonymousnoreply@blogger.com