tag:blogger.com,1999:blog-1001269134886417353.post4599358864458667183..comments2024-03-12T07:24:00.385+03:00Comments on Homez Deco - Kreative Homez: Curtains before & after........ Kijichi Mgeninani.....kazi ya Homez Deco.....Homez Deco Kreative Homezhttp://www.blogger.com/profile/07309956060512682072noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-1001269134886417353.post-3185822782795532742012-02-26T17:32:12.992+03:002012-02-26T17:32:12.992+03:00hi dear, naomba uniwekee designs tofautitofauti za...hi dear, naomba uniwekee designs tofautitofauti za vitanda ninavyoweza kuvipata kwako, size iwe ni 5*6 au 6*6, thanks, please nisaidie haraka iwezekanavyo si unajua kibongobongo pesa haikai!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1001269134886417353.post-64399678308847024382012-02-24T13:58:46.000+03:002012-02-24T13:58:46.000+03:00Homez Deco, ni wataalam wa interior design, na kaz...Homez Deco, ni wataalam wa interior design, na kazi ya interior design ni kutoa ushauri kabla ya nyumba ama ofisi kujengwa ama zikiendelea kujengwa, ila kwa huku TZ inakua ni kinyume, mtu unakuta nyumba imekwisha ndio anakuita, sasa sie tunachokifanya ni kutoa ushauri, kwamba tiles, furniture, rangi za ukuta ziendane,

kwa case hii, ni kwamba rangi aliyoipaka hata yeye mteja hakuipenda, na ndio maana akatuita tumshauri, na kutokana na tiles zake, na furnitures, anatakiwa kuwa na neutral colors, sasa baada yahapo ndio amechagua kuanza na pazia, then atakuja rangi ya ukuta, sofa, na decorations.

Naomba ieleweke kua baada ya kumshauri mteja, yeye ndio ameamua kubadilisha rangi, hatukumlazimisha, tungeweza pia kuweka rangi zinazoendana na rangi ya ukuta, lakini vipi kuhusu tiles? angetoa? si hasara tena kubwa........Homez Deco Kreative Homezhttps://www.blogger.com/profile/07309956060512682072noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1001269134886417353.post-78417759268762163522012-02-24T11:25:58.022+03:002012-02-24T11:25:58.022+03:00kuhusu swala la rangi kwanini mlimshauri apake cre...kuhusu swala la rangi kwanini mlimshauri apake cream/ butterscotch? Inawezekana mteja yeye anapendelea rangi zengine na sio lazima tu kuwa na rangi za creams na browns ndo nyumba ipendeze? Hiyo pink kidogo inashout sana, kwani hakuna pink ambayo imefifia zaidi akapaka labda, zikawa ni rangi za pastels/ florals? Nikiangalia hizo tiles kama zinapink kwa mbali. maoni yangu binafsi.
AsanteAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1001269134886417353.post-63766616440433758972012-02-24T08:25:37.030+03:002012-02-24T08:25:37.030+03:00Why usingemshauri mteja akaweka pazia zinazoendana...Why usingemshauri mteja akaweka pazia zinazoendana na colour ya ukuta aliyoweka awali, kuliko kuchagua pazia ambayo haiendani then arudie kupaka rangi.. I hope zipo rangi nyingi tu za material ambazo ungemtengenezea pazia na zingependezana na that pink colour ya ukuta. Ingemsaidia mteja wako kupunguza cost ya kurudia kupaka rangi..Ni mawazo yangu tu...may be cost is not an issue to her/him. Anyway kazi nzuri kila la heriAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1001269134886417353.post-13285248027520418352012-02-23T21:59:41.312+03:002012-02-23T21:59:41.312+03:00mteja anachagua design anayoipenda, na pia tunampa...mteja anachagua design anayoipenda, na pia tunampa advice, kutegemea na rangi za nyumba yake na fanicha zake, sasa ni juu ya mteja aanze kipi hapo.....Homez Deco Kreative Homezhttps://www.blogger.com/profile/07309956060512682072noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1001269134886417353.post-34667549812183458552012-02-23T09:30:23.619+03:002012-02-23T09:30:23.619+03:00hi ruky, ni kwamba hapo ni rangi ya ukuta ndio ina...hi ruky, ni kwamba hapo ni rangi ya ukuta ndio inayokufanya usielewe hiyo pazia, as i have said, kua rangi tutabadilisha na kupaka rangi ya cream/butterscotch. huyu mteja anajipanga kwa sasa.....

hivyo tutawaletea muonekano baada ya kubadilisha hiyo rangi ya pink... nililiweka wazi swala la rangi mapema....Homez Deco Kreative Homezhttps://www.blogger.com/profile/07309956060512682072noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1001269134886417353.post-44655838656370394412012-02-22T23:10:27.434+03:002012-02-22T23:10:27.434+03:00Mlivoweka hiyo pazia peke yake kabla ya hiyo swag ...Mlivoweka hiyo pazia peke yake kabla ya hiyo swag ilikuwa imependeza zaidi. sasa sijui kitu gani kimefanya isiwe na mvuto baada ya kuwega swag!! sijui ni rangi ya nyumba au sijui ni rangi ya pazia na swag havijaendana!! mawazo yangu tu. otherwise kazi nzurirukynoreply@blogger.com