tag:blogger.com,1999:blog-1001269134886417353.post3256827842745866503..comments2024-03-12T07:24:00.385+03:00Comments on Homez Deco - Kreative Homez: Table Manners: TipsHomez Deco Kreative Homezhttp://www.blogger.com/profile/07309956060512682072noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-1001269134886417353.post-19889351124076254392010-01-21T12:16:36.231+03:002010-01-21T12:16:36.231+03:00Hivyo vitu viweke kwenye pochi, kama pochi ina kam...Hivyo vitu viweke kwenye pochi, kama pochi ina kamba ama mkono (sijui kiswahili fasaha kwa hapa ni kipi) ning'iniza kwenye kiti utakachokuwa umekaa. na kama pochi haina kamba, basi weka pembeni ya hicho kiti ulichokalia, maana ukiweka mapajani utajisahau wakati wa kuamka na utavidondosha na unaweza ukaviharibu kwa wanaume vitu hivi weka mfukoni, wa shati ama suruali angalia wapi utakua comfortable.Homez Deco Kreative Homezhttps://www.blogger.com/profile/07309956060512682072noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1001269134886417353.post-279981843934445502010-01-21T12:01:40.580+03:002010-01-21T12:01:40.580+03:00Hello Sylivia, thanks for the table manners tips i...Hello Sylivia, thanks for the table manners tips ila namba 7 je funguo, na pochi usipoweka mezani je utaziweka wapi wakati wa kula?<br /><br />Mdau A-TownAnonymousnoreply@blogger.com